iqna

IQNA

Madhumuni ya Qurani
Sura za Qur'ani Tukufu / 3
TEHRAN (IQNA) - Surah Al Imran ni mojawapo ya Sura ndefu zaidi za Qur'ani ambayo inahusu mada mbalimbali kuanzia kuzaliwa na maisha ya mitume kama vile Yahya na Issa-Amna ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yao- hadi namna mitume walivyokabiliana na njama na uhasama.
Habari ID: 3475393    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/18

Sura za Qur'ani/ 6
TEHRAN (IQNA)- Surah An'am inarejelea kisa cha Nabii Ibrahim AS na utume wa watoto wake na inatanguliza dini ya Kiislamu kuwa ni mwendelezo wa njia na malengo ya mitume waliotangulia.
Habari ID: 3475347    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/07